Recent content by chipelele

  1. chipelele

    Posterior disc bulge L3/4 and L4/5 with mild compression

    Ndiyo.Asante nashukuru,nitampeleka kwenye hiyo hosp
  2. chipelele

    Posterior disc bulge L3/4 and L4/5 with mild compression

    Asante ndg yangu nitamwambia aende maana ana mwaka sasa bado anamaumivu japo yamepungua kidogo
  3. chipelele

    Posterior disc bulge L3/4 and L4/5 with mild compression

    Poa.ilikuwa Hosp gani na walikupa dawa zipi nimwambie mshikaji.
  4. chipelele

    Posterior disc bulge L3/4 and L4/5 with mild compression

    Rafiki yangu anapata maumivu kuanzia kiunoni hadi juu ya makalio hasa wakati wa kukaa.kipimo cha MRI kaambiwa disc mbili zinauvimbe yaani posterior disc bulge L3/4 and L4/5.tunaomba ushauri wa dawa na aina gani ya mzoezi afanye maana kaambiwa afanye pia mazoezi.
  5. chipelele

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Asante sana kwa somo nzuri hvi yatakuwa yanatibu na maumivu ya kiuno na mgongo et
  6. chipelele

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Pole sana.sister ako pingili zilifanyaje na alitibiwaje na hali yake ipoje nmi ninatatizo la pingili kubanana na naendelea na matibabu
  7. chipelele

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Pole sana.jaribu ukapime vipimo vya ex lay uone kwenye pingili za uti was mgongo kuna nini
  8. chipelele

    Nina tatizo la pingili za uti wa mgongo kubanana. Naomba kujua tiba

    Nashukuru sana kwa ushauri. Asante na ubarikiwe
  9. chipelele

    Nina tatizo la pingili za uti wa mgongo kubanana. Naomba kujua tiba

    Bado nakaribisha mawazo ndg zangu hata kama kunaushauri ili nipone maana binadamu tunapitia changamoto nyingi katika maisha na shida huwa zinafanana. Karibuni
  10. chipelele

    Nina tatizo la pingili za uti wa mgongo kubanana. Naomba kujua tiba

    Habari wapendwa, Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo nilipima Dtk. kaniambiwa pingili za uti wa mgongo zimebanana chaajabu nimeanza kutibiwa tangu January hadi Leo nakunywa dawa kila siku bado maumivu yapo hasa wakati wa kukaa pingili ya chini kwenye mkia makalioni. Tafadhali kama kuna...
Back
Top Bottom