Recent content by chinga79

  1. C

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    Hilo kweli ni fusho! kwa kuwa mkweli umenisikitisha sana na hii tabia yako na kusema ukweli inasikitisha na inatia aibu, hayo maji umeshayavulia nguo , huna budi kuface ukweli coz huwezi kumtelekeza huyo housegirl coz suruali ulivua mwenyewe na uwe tayari kuyakubali yote baada ya mtoto...
  2. C

    Naomba ushauri

    Mmmmh kwanza pole sana kwa hiyo shida uliyonayo ila sidhani kama ni lazima kihivyo ila kama unahisi unakosa kitu faulani muhimu katika maisha yako waone wataalum wa afya ila tatizo hujasema wewe ni jinsia gani mimi Chinga1
  3. C

    Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

    Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna...
Back
Top Bottom