Nawasalimu wote wana jf
Nina gari (hiace) ambayo nataka kuitumia kibiashara hapa jikon Dar
Naomba ushauri je?!! Naweza kuitumia katika biashara gan jijijin yenye faida atleast kusukuma haya maisha??
NB: Gari hili mali binafsi yani sipeleki hesabu kwa boss
Kila ushauri ntapokea na kuufanyia kazi
Nilikopa TALA, sasa juzi nmelipa na nataka kukopa tena wananpa ujumbe kuwa maombi yangu wanayashughulikia ni zaidi ya siku ya tatu, Je n kwangu tuu au na kwa wengine?
Habar wanajamii wenzangu.
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa sana na chunusi zaidi wakati akiingia kwenye siku zake. Aliambiwa akiwa na mtoto hiyo hali itaisha na sasa ashaolewa ila hali bado inaendelea
Naomba ushauri ni jinsi gani naweza msaidia.
hamna mapenz hapo mana ukiacha kumpigia at a acha kukuomba na ukikaa kimya atakaa kimya ss n bora kuamua tuu 1.
May b ka n mchepuko sawa BT mtu wa future afu anafanya hvyo n bora ukimbie mana atakuumiza San badae.
huyo ana mtu wake ambae amwombi hela ss ww anakukomoa ili umwache
Sent using...
ina elekea hata huyo mke wako hmpendi san; kwa ushauri rudisha mapenz kwa wife afu kuwa nae karibu yan ishi nae kila ukitaka unakamata wife tuu mpaka hyo hali itakuisha afu jua madhara ya punyeto mana cku ya mwisho hata huyo mke wako utamshindwa mana unauwa misuli ya uume wako
Sent using Jamii...
cna wasiwasi BT hana sababu n aina gan ya mambo mengi anayasemea kwenye a/c cz kila kitu tunashare hata posts za fb freely
Sent using Jamii Forums mobile app
Za asubuhi wanajamii,
Mimi ni mzima wa afya,
Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.