Siwezi kutaja KADA kaka..ila jua tu hawa jamaa unatakiwa usome sana kusu professional ya taasisi husika sio kishuleshule..ukiona taasisi flani basi ni bora ukaanza kuifanyia research inadeal na Nini na ikibidi kutafuta watu wanaofanya kazi hapo LinkedIn na fb then unadadisi contents zao nazani...
Tano ni za mida na kada tofauti mwaka juzi na Jana nkawa narnda...mwanzoni nilikuwa naenda nafanya written nakandwa..nkaanza kuchukulia Hawa jamaa serious Kwa kusoma kila sikubna kila nkienda katika intavyuu nakua na washikaji so nimejua vitu vingi na kukutana na wadau kibao so ikafika kipindi...
Hizo Saba sio kwa pamoja Mzee nimepiga sana tripu...ila Kwa hizi zilizotoka niliomba mbili so nlikuwa nasubiri two position placement...ila hizo zingine nibza nyuma
Unaweza kufanya zote ila kama ukifika katika oral waombe uanze wa kwanza katika nafasi Moja then ukitoka unawahi ingine Kuna mwanangu alipata kama hivyo inawezekana kufanya zote waweke wazi ila uwahi Moja uwe wa kwanza Kwa kuwaomba inawezekana kabisa
Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii.
Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae Mido tulikuwa ni watoto wa mfano sana kijijini kwetu tulipokulia, wazazi wangu na wazazi wa Mido...
Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.