Recent content by Chimbinga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wasagaji na mashoga

    Sorry kwa inayo muhusu bali huu ni mtazamo wangu kwani naamini wanafanya hivyo? kwa mtazamo wangu hawa watu hadi wamefikia hapo ni kwa sababu hizi 1.Tamaa ya pesa 2.Kupenda kuiga mambo kwa watu wengine 3.Wavivu na wazembe wa kufanyakazi Waungwana mnalionaje hili hawa watu mnawachukuliaje...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtabadilika lini????

    Kusema kweli japo kuwa sio wote lakini asilimia kubwa wanawake bado mmeshindwa kutambua kuwa dunia ya utegemezi imeishapitwa na wakati ni ukweli usifichika wanawake mmezidi kuomba omba pesa wengi wenu saa hizi mmelala kusubiri jioni bwana arudi akutoe ou hadi lini?? kwanini isifike mahari tukwa...
Back
Top Bottom