Tupac wala hajafa, kama ukitaka kuliamini hili ingia You tube na kisha andika 'Tupac is alive' utaona utaletewa nini.
Kwa wale ambao hawatakuwa na muda wa kuangalia ngoja niwaambie kile ambacho watakikuta huko.
Watakuonyeshea video mbalimbali ambazo zinamuonyesha tupac akiwa hai nchini Cuba huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.