Recent content by chihimba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Veternary Medicine (BVM) vs Bachelor of Animal Science

    Kaka nashukuru kwa ushauri wako!, Ubarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Veternary Medicine (BVM) vs Bachelor of Animal Science

    Kati ya degree tajwa hapo juu ni ipi ina faida kwa upande wa ajira na kujiajiri pia? Na je wanatofautianaje kimajukumu? Na soko lake la ajira serikarini au private sector lipoje kwa kozi zote mbili? Natanguliza shukrani zangu za dhati Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuwafata bodi ya mkopo moja kwa moja ofisini kwao wakanisikiliza na kunisaidia ili niweze kupata batch ya tatu kama itakuwepo?

    Asante kaka kwa ushauri wako, naamini mwenyez mungu atanisimamia pia
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuwafata bodi ya mkopo moja kwa moja ofisini kwao wakanisikiliza na kunisaidia ili niweze kupata batch ya tatu kama itakuwepo?

    Jamani naomba mnaojua mnisaidie, Mimi nimechaguliwa sokoine university of agriculture bachelor ya animal science, nyumbani kwetu hawana uwezo wa kunilipia tuition fee, nilikuwa nategemea sana mkopo , kwa bahati mbaya batch one na two zote nimekosa, je naweza kuwafata bodi ya mkopo moja kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Confirmation code

    Kesho ila cha msingi request
  6. C

    JamiiForums Tanzania Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

    Mkopo diploma ni ishu ndugu, ila peleleza vizuri
  7. C

    JamiiForums Tanzania DEGREE vs DIPLOMA

    Nenda pharmacy kaka
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeelewa kuhusu Bachelor of Animal Science

    Vp upande wa ajira, ukizingatia familia zetu kujiajiri ni changamoto
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeelewa kuhusu Bachelor of Animal Science

    Jamani wapendwa naombeni msaada mwenye uelewa kuhusu Bachelor of Animal Science. nataka kuelewa kuhusu ajira zake pamoja na jinsi ya kujiajiri. Natanguliza shukrani zangu
Back
Top Bottom