Ukweli ni kwamba, mimi sikuwa karibu nae bali ndugu zangu WENGI (wa karibu) ndio walikuwa karibu nae, TENA SANA!
Maishani mwangu nimewahi kukutana nae mara 2 TU, mara ya kwanza nyumbani kwake na mara ya pili, kwenye msiba wa kakake!
In short, nilijitenga nae (though ndivyo nilivyo) manake...