Wengi wanavitu vichache hivyo kupeleka wanaona havitoshi, sisi sisi tumejitolea kuvikusanya Kwa mmoja mmoja km nishati ,akweti halafu tunazifikisha kwao
Kwenye tangazo namba zipo
0789482438
Kama unachochote au hata kwa jirani au rafiki usije ukakiona kidogo au kibaya kunawengine wana kitafuta hicho
Hivyo tualifu na tutakifuata ili tuchanganye na vya wengine, kisha tutatangaza siku ya kupeleka tuta jumuika wote..
Mungu akutangulie kwenye kutafakari hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.