Recent content by chief sp

  1. chief sp

    Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

    Kuna usaili mwingine baada ya hapo?
  2. chief sp

    Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

    Wakuu nmeitwa magereza usaili ngazi ya wilaya na niliomba kama form 4 na nina degree, vp kwwnye suala la vyeo uko jeshi la magereza na je kuna usaili mwingine zaidi ya hapa wilayani?
  3. chief sp

    Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza 2023

    Wakuu nmeitwa kwenye usaili wa magereza ngazi ya wilaya naomba muongozo wa maswali, na je? Baada ya hapo kuna usaili mwingine?
Back
Top Bottom