Yaani kwa umri wangu huu wa miaka labda 40; hizo Bilioni 100 za uwizi zanifaa nini haswa?
Kwasababu hizi fedha hata kwa kuzila haziishi. Na mbaya zaidi: unakuta kwamba mtu anafanya wizi; anadhulumu haki za watu wengine kupata huduma, imagine hiyo ingewapa wanafunzi wangapi mikopo ya elimu ya...
Kuhusu ganzi kwenye magoti na unyayo: Nenda kafanye full blood picture, hiyo ni nerves issues ila inasababishwa na issues za damu; hapo yawezekana una upungufu wa damu au una high uric acid. Umepungua uzito? Lishe yako ipoje?
Ifike mahali tukubali kwamba aliyepata amepata, maisha yaendelee watu warudishe fedha ndani ya uchumi uchumi uimarike.
Hii kuwa haunt down hao mnaowaita mafisadi akati hao wanaowasaka nao ni mafisadi ni kupoteza muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.