Recent content by Chief Mwigendya

  1. C

    JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Unachoka mapema hivi, tulia Polepole ndio kwanza anaamza kushusha nondo.
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ni uongo na ni tusi kwa Watanzania wote walio na akili timamu na wanaojielewa!

    Kama kawaida yao huo ni utapeli mtupu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Leo naona rangi halisi za wanasiasa wa Tanzania zitajulika kama .Pia mbwa mwitu waliojivika ngozi za kondoo watajulikana.
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kupambana na rushwa siyo kipaumbele cha Samia na Serikali yake ijayo?

    Alishasema watu wale kwa urefu wa kamba , na akaongeza hizi Hela mnaiba hivi zitawafikisha ? Yaani fisadi unamwambia hivi unategemea nn?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Unavyoshamiri Kila Kiukicha Tanzania

    Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir ilikabidhiwa tenda hiyo Arusha siku ya wanawake duniani, mpaka hakuna senti iliyoingia serikalini, n.b...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Katika Hali Ya Kushangaza Na Ufisadi Uliokithiri Tanzania Awamu Hii , Tozo Ya Dola 45 Na Dola 90 Viwanja Vya Ndege Zinakwenda Mifukoni Mwawatu .

    Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir ilikabidhiwa tenda hiyo Arusha siku ya wanawake duniani , mpaka leo hakuna senti iliyoingia serikalini...
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

    Nyie kuleni tu manyama ya makafara halafu baadaye ndio mtajua matokeo yake.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea kama Rais Samia

    Haijapata kutoka deni la tilioni 116 sio ?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Ulisikia Nyerere alishauri vitu vya hovyo kama hivi vinavyoshauriwa sasa hivi? Ulisikia Nyerere ameshauri watu watekwe au wapotezwe?
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi imeanza, mgombea awasili eneo la tukio bila mapokezi ya wananchi

    Halmashauri kuu ya ccm taifa ndio impokee si ndio iliyorudisha jina , wafanye hivyohiyo nchi nzima mpaka wanyooke.
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

    Wajasiliasiasa wakipiga mahesebu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    Karma itafanya kazi, pia tusubiri Novena ila ikibidi watu waamke haya matekaji yatamaliza watu, hata vitu vya kijinga mtu katekwa aiseeee yaani wameshaona kupoteza uhai wa mtu aliyeumbwa na Mungu ni mchezo sio?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Polepole kusema ACT wazalendo na CHAUMMA ni Vikaragosi hajautendea Haki Upinzani na kamvunjia Heshima Msajili

    Mada tayari, aiseeee Lumumba mna safari ndefu sana ya kwenda mpaka mpate akili, Kwa kusoma hujui hata picha huoni wake wa akina Salum Mwalimu, Kigaila ,Kafulila wameshindwa kura za maoni Kwa mbali kabisa hujaona wakipitishwa ?
Back
Top Bottom