Hello Bandugu,
Week moja iliyopita nilitoa Tangazo la Kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire S7. Kama unayo Please PM me tufanye Biashara
Hello Bandugu,
Week moja iliyopita nilitoa tangazo la kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire S7. Kama unayo Please PM me tufanye biashara.
Hello,
kwa yeyote alienaproduct tajwa hapo juu au mwenye Connection ya hii kitu naoma ani-PM.
Hata kama upo mbele naoma tucheckiane, naitafuta hii mambo.
Regards,
Chief
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.