Recent content by ChidyB

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ngozi inayofunika jicho ya juu inapochezacheza kama kutetema husababishwa na nini

    Mkuu hata mimi jicho la kulia linashndwa kufunguka vizuri yan naona ngozi ya juu jicho ni nzto halafu kwa sasa naona blurred image yani si0‹2n vizuri
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    hapana mzizi mkavu amezungu mzia bawasiri kwani kuna bawasiri sehemu za juu ya uume ktk pubic hair? Tafadhali mnijuze
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    yap upo sawa mkuu ila mimi kwangu havina maumivu mpaka ukiminye ndo utajihsi pain kwa mbaali na pia hata panapo pona panabakia uvimbe kwa ndani kama kijinyama hivi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    kwenye sehem znapoota pubic hair 'mav*zi''
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    jaman nnaomba kujuzwa kuhusu uvimbe sehemu za siri, ni kama vijipu ila havina usaha vinatuna kwa ndani na kutokeza nje kidogo, mwakajana nlipima syphilis nkaambiwa cna wakanipa madawa hayajasaidia kwa anayejua dawa au ushauri. NB: Vilianza kunitokea kabla cjaanza kushirik sex, na kiujumla mimi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ninadhani nina ugonjwa wa kisukari

    Jamani msaada please
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ninadhani nina ugonjwa wa kisukari

    dalili zote zipo cdhani kama kuna tatzo linaloweza kusababisha ganzi na macho kushndwa kuona vizur zaid ya kisukari, ila kupima ndio lengo ndio maana nikaulizia bei ya vipimo ili nijipange.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ninadhani nina ugonjwa wa kisukari

    Mimi nina umri wa miaka 19 nipo form 5. Ila inaniwia vigumu kuendelea vizuri na masomo kwa sababu za kiafya, ninahisi nina kisukari japo sijapima ila dalili zote ninazo kama miguu na mikono kufa ganzi, sometimes kuishiwa nguvu na jicho la kulia hushindwa kutazama jua kali. Ninaomba mnisaidie...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nashukuru sana, lakini ningeomba mnijuze njia zinazoweza kutibu bila kufika hospital, maana nipo shule na ni mbali na vituo vya afya labda mpaka likizo, je wakat nasubiri likizo nifanye nini?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Jamani mficha maradhi kifo humuumbua, mwanzo nilikuwa najisikia muwasho katika sehemu ya haja kubwa nikadhani ni sababu sijachamba vizuri kwakuwa nipo shule ya bweni kuna uhaba mkubwa wa maji ila muwasho ulpoendelea nilijichunguza vizuri na kugundua kuna kauvimbe kama kanyama kametuna...
  11. C

    JamiiForums Tanzania hello

    wats up pp rytl here
Back
Top Bottom