Recent content by chidy said

  1. C

    GE2025 Video: Watu walipewa mabango ya kumsifia Samia kuharibu maandamano ya Diaspora wapewa pesa zao baada ya kazi

    Kama wanaweza kuharibu maandano nje, tena marekani sembuse humu ndani ***** 🔥🔥 raia wabaki ndani tu
  2. C

    Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Sasa nyinyi mbona hamkopi kwa jina la tanganyika katika mambo yasiyokuwa ya muungano mnatumia jina la tanzania?
  3. C

    Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Sasa nyinyi mkikopa mbona hamkopi kwa jina la Tanganyika mnakopa kwa jina la Tanzania katika wizara zisokuwa za muungano?
  4. C

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Sio kama wamenyamaza hy amri ya kutokula mchana zanzibar lipo tangu kabla ya mapinduzi
  5. C

    Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

    Waziri wa mambo ya ndani hangoki hata kwa bakora
  6. C

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    sasa si nyinyi hawa mnasema ni ndugu zenu wa damu? Mbona mnawaacha wanahangaika mitaani kama yatima ? Chukuweni hatuwa za kuwakombowa kama kweli mnawapenda? Nyinyi mmewatupa na mnategemea Zanzibar indio iwaokote na kuwalea? Wadanganyika Amkeni?
  7. C

  8. C

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Hii jamii ni janga kwa ZANZIBAR. Hii jamii mmeikataa huko kwenu na sasa mnataka kuipa mzigo nchi ya Zanzibar. Mgelikuwa mnawathamini na kuwajali mgeliwaenzi kama wenzenu wa KENYA. Waokoeni ndugu zenu na laana ya kujiuza,kuiba na kula unga. Watanganyika Mnadanganyika
  9. C

    Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

    yule hatumuwezi maana viongoz mpk washabiki neno subra hatuna yule anahitaj msimu miwil mpk mitatu je unauvumilivu huo?...
Back
Top Bottom