Recent content by Chibule

  1. Chibule

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

    Tsh 1.7m
  2. Chibule

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

    Jino Lenye Maumivu na Limetoboka haliwezi kuzibwa na dawa ya mda mfupi / Kudumu
  3. Chibule

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

    Moja utakuwa na Tatizo la Magonjwa Ya Fizi Hivyo unahitaji kufanya Uchunguzi wa Kinywa Chako ili kubaini tatizo na kupatiwa matibabu , Unaweza wasiliana nami PM
  4. Chibule

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Ahsante Sana
  5. Chibule

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Shukrani sana mkuu
  6. Chibule

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Shukrani sana
  7. Chibule

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

    Ndyo mkuu ni salama , pia inawezekana kufanyika kwenye meno yote juu na chini iwapo tu kuna dalili na vigezo vya kufanya huduma ya mzizi wa jino
  8. Chibule

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. Mwanangu wewe...
  9. Chibule

    JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Uko sahihi
  10. Chibule

    JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Uko sahihi sio wewe ni wengi
  11. Chibule

    JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Nimetoa ufafanuzi kwa kile ninachokijua , Hivyo natamani nawe u usome uuelewe nini nimezungumza
  12. Chibule

    JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
  13. Chibule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Kabisa chukua hilo dini
Back
Top Bottom