Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ualimu idara ya sekondari.aje
chamwino dodoma niende muheza tanga au tanga mjini.. Nipo tyri kwa mawasiliano kama atapatikana mdau
wadau naombeni contact za kondoa girlz mfano website yao au namba ya cm ya mtu wa karibu xana kma mkuu wa shule,kikubw nataka kupata join form dg kachaguliwa pale na mda umeenda karibu waanze masomo.
jamani tunaombeni msaada wa maelekezo jinc ya kuandika barua kwa tcu kwa wale ambao tulichaguliwa vyuoni mwaka jana na kushindwa kulipot kwa sababu mbalimbali ijapokuwa hatukulipoti kwenye vyuo husika akini imetokea malalamishi ya wenzetu ambao wamedai kugomewa kuaply na tcu ad waandike izo...
nimelog in mwenyew kwa kumsaidia fom aiwez kueditika na na nlitaka nimsaidie kuaply upya wadau wanadai uwez kuanza upya coz namba yake ishakuwa registered
WADAU NA MDGO ANGU KAKOSEA FOM YA BODY YA MIKOPO AN HESLB IKATOKA OVERSEA UNDERGRADUATE BADALA YA LOCAL UNDRADUATE XA NAOMBENI MAWAZO NIMSAIDIE DG AWEZE KUPRINT FOM YA WANAFUNZI WA NDANI YA NCHI NA C NJE KAMA ILIVOTOKA AWALI naheshim sana mawazo yenu
WADAU NA MDGO ANGU KAKOSEA FOM YA BODY YA MIKOPO AN HESLB IKATOKA OVERSEA UNDERGRADUATE BADALA YA LOCAL UNDRADUATE XA NAOMBENI MAWAZO NIMSAIDIE DG AWEZE KUPRINT FOM YA WANAFUNZI WA NDANI YA NCHI NA C NJE KAMA ILIVOTOKA AWALI naheshim sana mawazo yenu
Wadau naombeni mnijulishe n kwa namna gani unaaply kupitia nacte na college hucka kwa muda muafaka! mfano baaz ya vyuo vyenye diplma na certfcate vimeanza kupokea maombi akn nacte bdo ziii!. kwo online aplctn itakuaje.?? tuwasubr nacte wakati umeshaomba chuo hucka au ajeee!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.