Recent content by Chiarale

  1. C

    Kwanini Lowassa hakuruhusu maswali kama Wassira na Mwigulu?

    wingi wa watu si hoja, hakuwa na hoja ya kueleweka! kufanya kazi kwa mazoea kwamba amekuwa serekalini kwa muda mrefu,basi ndio anafaa si kweli! Kwa sasa taifa hili linahitaji kiongozi makini na mwenye dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa hili!
  2. C

    Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

    Amebeba hoja nzuri, mtu unapohitimu elimu ya juu (chuo) hupati kazi moja kwa moja, inawezekana ndiyo shughuli aliyoifanya kabla ya kupata nafasi ya kazi BOT
Back
Top Bottom