Recent content by Chenzen

  1. Chenzen

    Umuhimu wa kugawanya majukumu serikalini

    Usifananishe maendeleo ya majimbo ya huko USA na pengine na sisi tukiwa na majimbo tutakuwa kama wao, kumbuka wao mpaka sasa wana maraisi waliopita zaidi ya 40, na sisi ndio kwanza 5, wao wametoka kwenye safari ndefu sana kufikia pale so usijidanganye. Na pia ukigawa nchi kwa zone kiuwongozi...
Back
Top Bottom