naongea kwa herufi kubwa kuwa jiandae kupata pacha hapooo. Sasa miez 7 yote bado tu hujafanya Mpango? Kikawaida mwsho wa kujiamini ni miez 6 tu. Lakin hata hyo 6 ni hatari pia maana wanawake wanatofautiana sana.
Nimeona dalili ya gono (usaha katika uume wakati wa asubuhi.
Nimemuonesha mke wangu ambaye ametoka kujifungua wiki tatu zilizo pita kanijibu kuwa yaweza kuwa gono na akaniuliza kuwa alipoondoka kwenda kujitazamia je nilikuwa na mchepuko?
Nami nikamuuliza hvyohvyo. Kiufupi mimi sikuwa na...
Pole sana ila hilo ni gono ambalo jina lake limejumuishwa na magonjwa mengne yazinaa na kuitwa mkojo machafu UTI.mmoja kati yenu aliupata nje kisha akauleta ndani. hvyo yawezekana kuwa wewe pia unao ndo maana mumeo baada ya kutibiwa aliugua tena. Maana magonjwa meng ya zinaa yanachelewa kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.