Recent content by chemical13

  1. chemical13

    Laptop yangu imegoma kuwaka

    Nimewahi kufanya hvyo mkuu
  2. chemical13

    Laptop yangu imegoma kuwaka

    Juzi nilikuwa natumia laptop yangu kama kawaida baadae nikachomeka powerbank kwenye port moja ya laptop, ilizima ghafla na haiwaki tena, msaada nn tatizo
  3. chemical13

    O-Level Practical

    Kwa wanaohitaji practical za physics,chemistry na Biology niko na mobile laboratory nakufikia popote ulipo kwa walioko Dar es salaam au fika ofisini kwetu barabara ya kwenda bagamoyo shuka kituo cha BONDENI. Au piga simu namba 0654648209
Back
Top Bottom