Recent content by chemba

  1. C

    Kongamano la miaka 48 ya muungano

    hata hili nila ukombozi maana mada zinazojadiliwa hapa ni babu kubwa,watoa mada wameenda shule mtu kama KAFULILA hawezi kutoa pumba,DR RWAITAMA EXAVEL na DR MKUMBO hawezi kutoa mada mbovu.
  2. C

    Kongamano la miaka 48 ya muungano

    dr lwaitama kasema chanzo cha neno Mapinduzi ni kule Arusha kwenye azimio,na maana yake ni kuchoka na kunyonywa na wakoloni.Swali je leo unyonywaji wa wananchi umetoweka au bado upo?Je,malengo ya kuanzishwa neno mapinduzi limetimia kwa kiwango gani?wana jf naomba maoni yenu.
  3. C

    Kongamano la miaka 48 ya muungano

    watoa mada wengine ni dk.mwaihojo,kafulila n.k
  4. C

    Kongamano la miaka 48 ya muungano

    linafanyika mbeya mjini katika ukumbi mtenda sunset hall-mbeya mjini.sasa ni muda wa dk. lwaitama kuunguruma,anachochea fikra
  5. C

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Live kutoka mbeya dr kitila mkumbo yuko anaongea na wananchi ukumbi wa mtenda sun set,ameanza kwa kuwapongeza waandaji na namna walivyo andaa na kwa kueleza namna muungano wa serikali yetu ilivyo.toa maoni yako
Back
Top Bottom