Recent content by CHEF

  1. CHEF

    Security cameras nzuri

    Unaishi sehemu gani? Na unataka kufunga siku gani? Ni PM kwa namba yako tuyajenge. Camera zinatofautiana kuna 1MP, 2MP, 4MP, 5MP pia kuna black and White , colored etc. Kwa kweli inategemea unataka kufunga wapi na budget yako, Technician akifika site ndio anaweza kukushauri vizuri kutokana na...
  2. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Asante mkuu, lakini sijalala nikaota hii sauti naisikia nikiwa macho , nikiwa nimekaa peke yangu eneo tulivu, sauti ambayo hata ukiziba sikio inakuja, nimeuliza wakaniambia tafuta namna ya kufikisha ujumbe itaisha yenyewe, na leo nafikisha hapa, ukikejeli sawa maana mimi sina chochote...
  3. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Mkuu Ingekuwa mawazo yangu ningeweza kuvumilia lakini nimevumilia kwa zaidi ya miezi 6 sasa nimeuliza watu wakaniambia sema tu utaona hali inaondoka yenyewe
  4. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Asante mkuu , nimefikisha ujumbe natumaini sauti hii itaniondokea
  5. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Mkuu rudia kusoma huu uzi vizuri, halafu linganisha na kile unachozungumza huko nyuma
  6. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Sawa mkuu ila sina nia tofauti na kutaka hii sauti iniondokee mimi upande wangu
  7. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Mkuu sio ndoto yaani sio kama nalala halafu naota laa hasha! nikiwa nimekaa peke yangu bila uwepo wa mtu mwingine nasikia Sauti inaniambiia hata nikiziba masikio bado inasikika tu ni zaidi ya miezi 6 sasa. Leo nimesema na dawa ni kusema hakuna dawa nyingine.
  8. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nimesema ili sauti inayoniijia iishe na dawa yake ni kusema mkuu sasa nitabaki nayo nyumbani kwann na itaishaje
  9. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Hayo mengine mimi hayanihusu mkuu nilitaka tu hii hali iniondokee na nimeambiwa dawa ni kusema tu hakuna dawa nyingine tofauti na kusema
  10. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Binafsi mimi sina uhusiano wala asili ya huko, Frankly me nina asili ya Kigoma na Kilimanjaro, ni sauti tu hii nataka iache kuniijia na dawa ni kusema ndio sauti itakoma
  11. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Mkuu hii sio ndoto , ni sauti iliyokuwa inajirudia inaniijia na sijui nimwambie nani ili ikome leo nimeamua kuandika hapa JF ili sauti hii ikome vizuri.
  12. CHEF

    Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Back
Top Bottom