Recent content by CHEDU

  1. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Embu tuambie hayo magonjwa na makosa ?.. Nini kazi ya usalama wa taifa na maresearcher ndani ya nchi?
  2. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Kabisa Watu sijui wanawazaje haya mambo
  3. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Unataka ujue kabila langu ili iweje, inaongeza nini, kwann usinitambue kama mtanzania tuh, au unataka ujue kabila langu ili uone namna ya kunipa huduma nzuri au mbaya Haya maswali ya ukabila na udini yalikua ya kikoloni kuwagawa watu tuh na sie tumeyarithi tunaona yanafaa wakati ni upuuzi...
  4. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Lakin sasa ndo tuhalalishe hadi kwenye official documents za uma [emoji15] sijaona sehemu nyingine duniani
  5. CHEDU

    Suala la kuuliza kabila kwenye ofisi za umma inachochea Ukabila

    Habari wanajukwaa, Haya masuala ya kuuliza makabila ya watu kwenye ofisi za umma yanakera sana na yanachochea ubaguzi wa kikabila, nafikiri ni muda sahihi sasa wa kuyapiga marufuku hasa tunapoekea kutafuta kabila mpya. Haya mambo utayakuta Polisi, JKT, Hospitali, bodi ya Mikopo n.k Kwakweli...
  6. CHEDU

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Mwenye link inayoonyesha live naomba anitumie nicheki mechi
  7. CHEDU

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Mwenye link atume hapa niangalie game
  8. CHEDU

    Diaspora wa Tanzania waishio nchini uingereza (UK) tufahamiane

    Pia Kuna michongo ya kulea wazee £13/h na Hawa unapiga Kila siku Kama utapenda yaani hawana wafanyakazi kabisa unaweza ukaunga hata shift 3 mfululizi na kazi yenyewe Wala sio ya nguvu ila uvumilie kero za wazee (Kama ubaguzi na kuchezea uchafu wao) ukibahatika wazee wengine muda mwingi wamelala...
  9. CHEDU

    Diaspora wa Tanzania waishio nchini uingereza (UK) tufahamiane

    Kusema maisha ya England magumu ni kuongopeana mchana kweupe ,labda Kama umeenda kuishi kwenye majiji makubwa Kama London (na kwann ukaishi London).. Mfano mbongo uje uishi hapa derby ,hamnahamna umepata mchongo kwenye warehouse inakulipa £10 kwa saa ,hapa derby maisha mepesi tuh kidogo labda...
  10. CHEDU

    Diaspora wa Tanzania waishio nchini uingereza (UK) tufahamiane

    Ashrbourne road huko ,tutafutane mkuu,mie nipo city center Macklin street
Back
Top Bottom