9. Wanndishi wa habari
hili ni group muhimu sana wakiongozwa na Kibanda, Msaki, Pasco, Bakari na kwa sasa bbc iliyoanzishwa hapa nchini.
Hii ni dharau kubwa sana. Bahati nzuri hawa wore nawafahamu, na nina waheshimu sana, lkn kwa mwendo huu naanza kujiuliza kama nilikuwa sahihi.