Recent content by Chebacheba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Yaani anakera kweli kweli huyu mtu!! ni mtu wa urasimu wa rushwa na urasimu mkubwa. Walala hoi wataweza wapi mnada?? mtu mmoja anataka kubadilisha mfumo mzima kwa manufaa yake?? Tuseme inatosha sasa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kagasheki ajenga mazingira ya Rushwa Misitu

    Waziri Kagasheki kwa mara nyingine ameendelea kuonyesha ni jinsi gani asivyomudu wadhufa aliokabidhiwa baada ya kukalia vibali vya kuvuna misitu vilivyotakiwa kuwa vimeshatolewa na misitu kuwa inavunwa muda huu. Hapa wizarani kila mtu ameshangazwa na hali hii kiasi cha watu kumkumbuka Maige...
  3. C

    JamiiForums Tanzania MWIGULU:umetuletea wapiga nondo Mbeya

    MODS fungieni watu wa jinsi hii wanaolikosea heshima jukwaa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ally bananga ndani ya manyoni

    hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Heko Dr. Kitila Mkumbo kwa kazi ya siasa jimboni Iramba Magharibi

    Haya sasa ni mahaba ya kupitiliza, unaanzisha uzi kumpongeza mtu kwa kuwasalimia watu Iguguno? This is absolutely ----! Kwanza Iguguno haioko Iramba Magharibi bali iko mashariki. Acheni kujifagilia mambo yasiyo na msingi. Furthermore, huyu Kitila kama ni kupendwa JF, kweli. lakini kule Iramba...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    huyo MALAFYALE ni mchumia tumbo wa Slaa, so unategemea jibu gani Bro? mbona jibu umelitaja hapo juu. Mpotezee huyu mkulima Malafyale bana!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Unawatukana wenzako kwa kutofautiana mtazamo na wewe? Sasa nani punguani hapo kati yako na yeye? wee kweli UJENGELELE
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    au mwananchi na tanzania daima
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    kumbe ana mimba?? duh
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    wivu wa kiume ni upi. Punguza povu leta hoja tu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Bravo Ritz! mpe ukweli huyo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    watu wa ajabu kabisa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Hilo utatueleza wewe. Ubadhirifu ni ubadhirifu tu haijalishi katiba inasema nini. Yaani mtu aibe halafu useme katiba inaruhusu. Hakunaga bana! tumeshashtuka sasa yawezekana kweli huu ni mradi wa watu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Mkuu polepole. Kwani ni hawara au mchumba?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ziara za Josephine mikoani zazua zogo

    Una uhakika?? uhakika gani?? Acha kupotosha umma wewe kila siku. Leo hutupati. Toa basi huo ushahidi au uhakika kwamba si pesa za chama. Na je unabisha kwamba Dr. Slaa hakujikopesha milioni 140? Toa ushahidi. Explain yourself!
Back
Top Bottom