Nawasalimu wana JF,baada ya kuwa mtazamaji na msomaji kwa muda mrefu sasa nadhani ni wakati muafaka kwangu kuwa mchangiaji ili kuijenga nchi yangu. Kwa kuanza ni hili la wana Ccm kuanza kuongelea nani atakuwa mgombea ndani ya chama chao, kila mmoja anapaswa kujua kipindi hiki ni cha kuijenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.