Recent content by ChawaWaMama

  1. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

    CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
  2. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Watu wa dini waache kuropoka ropoka
  3. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Watu wa dini waache kuropoka ropoka
  4. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Aacha kuropoka
  5. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

    Huyu ndiyo hata k yake hainuki ila huyo mpya k yake itakuwa na harufu unaweza kimbia
  6. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Polisi wanatumika kijinga sana
  7. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Hivi hawa madenzi wa polisi walifuata ninj pale kuweka utepe????
  8. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Bosi Njemba Soro. Nimejaribu kufafanua kidogo kulingana na uelewa wangu ndugu yangu. Nisamehe sana kama nimekukwaza mkuu. Kikubwa ni kujaribu kueleweshana. Nadhani wahusika wanaweza kutolea ufafanuzi zaidi.
  9. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Zari The Bosslady: Zuchu apewe Tuzo ya 'Girlfriend Of The Year' kwa uvumilivu, sisi wote tulishindwa

    Jamani si inasemekana Pdydydy so visingizio kibao ni ngumu sana pale
  10. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Mimi ni chawa wa kweli kwa Mama, sisi tunasema Oktoba tuna tick✅✅✅✅. Gharama za kuandaa uchaguzi kubwa sana tena sana huwezi kusema unaa cancel uchaguzi kirahisi namna hiyo.
  11. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Ukitoa maoni bila matusi unapungukiwa na nini? Kuwa na hekima bosi, tujenge taifa la kukosoana kwa hoja siyo matusi
  12. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Matusi ya nini???? Hakuna jambo Mkurugenzi anaweza jiamulia. Kila jambo lazima lipitie vikao, ndiyo maana ya kuwa na diwani kama muwakilishi toka mtaani kwako.
  13. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Tatizo lako umetilia mashaka badala ya kuandika kuwa “Inakuwaje taarifa za majengo zinakusanywa mara mbili??”
Back
Top Bottom