Recent content by chavichavi

  1. C

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Tanzania Tanzania Nchi yangu Niipendayo sana inanipa wakati mgumu sana katika maamuzi yangu binafsi ninapoifikiria Tanzania. Tanzania Tanzania Nihurumie Mpenzi Tanzania!!! Mnyonge Mnyongeni Ilaaaaaaa sasa akiitambua haki yake Hakika utampaaaaaaaaa TU
  2. C

    Rais Kikwete na safari za nje

    Huyu muungwana alishazoea tangu kipindi cha chenkapa manake simnakumbuka alikua ndo B.Membe wa sasa.Afu hataivyo mimi nahisi anaingia hapa DC kutafuta wawekezaji wengine. Nina machungu sana na hao wawekezaji waliopo bongo hasa mikoa fulani fulani nchini kwetu kwa mambo wanyoyafanya ikiwemo na...
  3. C

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hata tukiing'ang'ania CCM kama chama tawala - hakuna siku hata moja watanzania walio vijijini watapata auheni ya maisha yao - hawa watu wote ni mafisadi kuanzia kwa mshikaji hadi ngazi ya chini kabisa na ni wasaani wa kutupwa Mnyonge mnyongeni ila sasaaaaaaa,haki yakeeeeeeee MPENI...
  4. C

    Uwakilishi bungeni 50/50

    Lakini jamani naomba tusiwe bayasi kwa hili.Hivi katiba imezuia wanawake wasifikie hiyo asilimia hamsini?Mimi nadhani katiba kwa hapa tunaipa lawama ambazo hazistaili kabisi.Hivi ikitokea mwaka 2010 wanawake bungeni wakawa ni asilimia 60 na wanaume asilimia 40 ni nini kitatokea. BUNGE...
  5. C

    Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

    Mzee mwana k - Nashangaa kusikia wewe unajua kwamba wametimuliwa ila mimi binafsi naelewa kwamba hawa watu wamepewa likizo ya lazima ili kuendelea kutengenezewa visanga baada ya hapo ndo watimuliwe ila binafsi nadhani kabla ya watu hawa kupoteza kazi zao kwa kutetea mabillion ya walala hoi sisi...
Back
Top Bottom