Namba 1-4 wanatakiwa KUITWA ili wapewe ushahidi, namba 5 pekee WASIITWE na badala yake wapelekewe ushahidi ifisini.
Nadhani waandishi wa habari ndo waitwe ili wapewe ushahidi na hao wote uliotaja wapelekewe hicho kinachoitwa ushahidi, watahisi kuthaminiwa na kuheshimiwa. Watafanyia kazi...
1: Nadhani hiyo ndo itakuwa hukumu na baada ya kifungo hicho cha saa 48 anakuwa huru
2: Kila DC/RC anaamuru mtu awekwe ndani saa 48, hivi ni lazima tu iwe 48? Kwani haiwezi kuwa hata kwa saa 1-47? Naona kama wamekariri, au 48 ni rahisi kutamkika?
Yaani kitabu ni mkusanyiko wa stories ( non scientific and time inconsistent) ununue kwa 1.7M halafu siku unarudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi unatekwa na kunyang’anywa kisha inachanywa, halafu unaambiwa chizi ww kalale, baada ya muda mjinga mmoja tu ambaye hakusoma hata hicho kitabu...
Kuna taarifa ambazo huwezi kuzipata kwenye google bila kulipa hiyo 1.7M?
Kwa kuwa mwandishi ni mwana CDM inabidi utaalamu wake utambuliwe na awe mjumbe wa kamati ya kuhakikisha chama kinaongoza dola.
Eti sisi tunakomaa na Stiglers Gorge ambalo kesho tu linajaa tope na hatuna guarantee na Mungu kwamba tutaendelea kuwa na mvua za kutosha, vipi nchi ikikumbwa na ukame?
Stupid argument!! Can you please defend your position on what you have written in the second paragraph by listing the statement (s) as spoken by the President Vs your interprentation and BBC’s interpretation? We need to justify your claim.
Taasisi kubwa kama KKKT, CATHOLIC etc hupokea barua kutoka serikalini kwa DISPATCH. Je, hao KKKT waliokota karatasi yenye jina la msajili mtandaoni na kuitolea majibu au walipokea kwa dispatch? CONTRADICTION
Barua ya trh 30.05 hadi leo ndo inatolewa majibu? CONTRADICTION
Ile barua ingeweza...
Nimeona barua ya leo juu ya uteuzi wa Prof Pembe. Hizi ni barua 2 tofauti ndani ya siku moja (trh 01 June). Isingewezekana kuorodhesha teuzi zote kwenye barua moja? Au aliyeandika barua hakuwa na taarifa za uteuzi huo mwingine. Au Rais ndo ameamua kuteua majaji na baada ya kupumzika wazo...
wewe ni mpuuzi sana, hujui kwa kauli hizo ndo zimechangia Mbowe na wenzake kuwa na kesi hadi sasa. Hukumbuki siku ya kuhitimisha kampeni zao jimbo la Kinondoni? Wewe ni mpuuzi sana, ulitakiwa usime RC hapo ameteleza, siyo kauli ya kutolewa na kiongozi/mkiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa mbele ya...
Sijui ni kwa nn hii nchi inaonekana inaendeshwa na maRC wa dar na arusha? Yaani kiongozi wa serikali anatoa kauli hiyo na hadi sasa Rais hajatengua uteuzi.
Mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa anatoa kauli hiyo lakini si m/kiti wa chama taifa wala katibu wake aliyejitokeza na kulaani au hata...
Ngozi nyeusi tuna matatizo gani kiakili? tusishangae yanayofanyika TZ. Ndo tulivyo.
Yaani benki ya maendeleo ya Afrika, ila sherehe zinafanyika Korea! Na siyo Benin, Misri, Tz, A/Kusini, Angola, Ghana, Congo, Msumbiji etc
Sijui tuna laana ya kitu gani? Tusishangae yanayoendelea Tz, ndo tulivyo.
Hoja gani sasa hii? Kwa hiyo kama hawakuhoji uharibifu wa serengeti hiyo ni tiketi kwenu kuharibu Selous. Kosa halitatuliwi kwa kufanya kosa. Eti kwa kuwa yule alikosea sasa ngoja na mm nikosee.
Waanze na ufisadi wa viwanja vya mipira mikoani na majengo ambayo kwa sasa wanayatumia kama ofisi zao isipokuwa zile ofisi mpya - Dodoma zilizojengwa kipindi cha awamu ya 4. Viwanja na hayo majengo ni kodi za wananchi wote na siyo matokeo ya ruzuku ya chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.