UTEUZI II: Rais Magufuli awateua Jaji Ferdinand Wambali na Jaji Mwanaisha Athuman kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais John Magufuli amewateua Jaji Ferdinand Wambali na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani

Kabla ya uteuzi huu Jaji Wambali alikuwa Jaji Kiongozi na Jaji Mwanaisha alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Uteuzi huu umeanza leo Juni 01, 2018 na tarehe ya kuapishwa itatangazwa baadaye

IMG-20180601-WA0024.jpg
 
Nimeona barua ya leo juu ya uteuzi wa Prof Pembe. Hizi ni barua 2 tofauti ndani ya siku moja (trh 01 June). Isingewezekana kuorodhesha teuzi zote kwenye barua moja? Au aliyeandika barua hakuwa na taarifa za uteuzi huo mwingine. Au Rais ndo ameamua kuteua majaji na baada ya kupumzika wazo likamwijia tena la kuteua huyo Prof wa Muhas.
 
Hivi kati ya Jaji kiongozi na jaji wa rufani,cheo kipi ni kikubwa zaidi?
 
Back
Top Bottom