Recent content by Chaula_J

  1. Chaula_J

    Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

    Kama ni nauli amtumie tu Ila akumbuke kuhudhuria vikao
  2. Chaula_J

    Plot4Sale Shamba linauzwa

    Habari ndugu, Kwa wale wanaovutiwa kuwekeza katika kilimo, Ndani ya mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe, Tarafa ya Lupembe, nimewaletea mashamba mahususi kwa dhumuni hilo. Kuna jumla ya ekari 400 zinauzwa: ekari 200 zipo kijiji cha matembwe na zinauzwa tsh. 300,000/= kwa kila Na ekari 200 zipo...
  3. Chaula_J

    Plot4Rent Shamba la miti linauzwa Njombe

    Habari ndugu, KUNA SHAMBA LA MITI AINA YA MIPAINA LINAUZWA, Shamba lipo mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe mjini, kata ya Kifanya, kijiji cha Lilombwi. Lina ukubwa wa ekari 20, na kila ekari inauzwa kwa shilingi 1,200,000/=. Unaweza kununua kuanzia ekari tano. Miti ina muda wa miaka minne tangu...
  4. Chaula_J

    SoC02 Dini inapogeuka kichaka cha kujificha kwa watawala wasiotimiza wajibu wao kwa wananchi

    Andiko ni zuri kwa kweli, nimependa ujumbe pamoja na mpangilio wa uandishi na mpangilio mzuri wa mawazo Kura yangu nakupa
  5. Chaula_J

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Hapa nina swali waheshimiwa, kama ikitokea askari amekiuka taratibu hizi au moja ya taratibu hizi, mimi kama mwananchi ninaweza kumchukulia hatua yoyote?, Kama ndiyo, ni hatua gani na utaratibu upoje? Na kama siwezi kumchukulia hatua, atawajibishwa vipi?
  6. Chaula_J

    SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
Back
Top Bottom