Mm n mwalimu wa shule ya msingi nilianza kaz 2014 mwaka huo huo nikafanikiwa kukopa mkopo ambao unanitesa kwel mpaka sasa mshahara wangu n mdogo Nina madeni kila kona mpaka kazi naiona gunia LA misumari,,,,
shida zaid kuna taasisi ya mtaani nilikopa 758000 nimelipa 350000 baada ya hapo nlipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.