Hii ni topic nzuri sana. Napenda sana watu ambao wanataka kuwaona watu wengine wafanikiwe kwenye mahusiano.
Naomba niongeze vitu viwili tu:
1) Kuna wataalamu wa ndoa na mapenzi ambao wanafanya pre-marital counseling kwa bei nafuu -- in some cases, chini ya laki moja kwa session moja. Ni muhimu...
1. R.I.P. to Abraham and poleni sana to his family and friends. Apumzike pema peponi.
2. Ukiachana na kamera zinazoweza kuwepo kwenye boti na kamera walizonazo watu mikononi mwao, kuna kamera kwenye nyumba na biashara zinazopoint kwenye Miami River. Kama kuna anything illegal kimetokea kitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.