Recent content by Charz big

  1. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Mkuu sina akili ya kukutana tu na kutongoza apo apo,japo nilisha sema nae na akajibu ni mapema sana, na mimi amekaa kwenye akili yangu adi nahisi kupoteza furaha yangu na ndo mana nauliza kipi nifanye nirudi normal
  2. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Akasema Mapema sana tutaona uko mbele itakuwaje
  3. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Sema neno mkuu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Yaweza kuwa pia,na ndo mana natafuta namna ya kurudisha furaha yangu kawaida
  5. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Nimemwambia
  6. C

    JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Habari wana MMU, Kwanza poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, Ndugu yenu nimepoteza furaha yangu kabisa na sijui la kufanya ili nirudishe furaha yangu, nitakribani wiki 2 hivi sasa nimekuwa na tatizo hilo na apa ndipo nimeanzia kukiri ya kuwa kupenda ni maradhi ya moyo, katika pita pita...
Back
Top Bottom