Recent content by Charykiss

  1. C

    JamiiForums Wasomi tulionyimwa ajira tukutane hapa tujadili nini la kufanya

    Wenye utayari wa kujiajiri tujuane tuunganishe nguvu na ujuzi tujuane
  2. C

    JamiiForums Maombi ya kazi yoyote inayohusiana na usimamizi wa rasilimali

    Mimi ni binti umri miaka 27, Naomba ambae ana uwezo wa kunisaidia kupata ajira yoyote inayohusiana na usimamizi wa rasilimali yoyote Ile ikiwemo watu na kadhalika nina hiyo experience. Mkoa wowote nipo tayari kufanya kazi. Natanguliza shukrani. Asante
Back
Top Bottom