Recent content by Charlesnbundalah

  1. Charlesnbundalah

    Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Naweza kufanya kazi kwako vizuri tu coz mimi hata nikipata mtaji wangu haitaathiri kazi yangu coz ninao watu wanaoweza kusimamia bila ya kuwepo mimi Kikubwa hapa ni nyenzo ndo inahitajika boss
  2. Charlesnbundalah

    Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
Back
Top Bottom