Recent content by CharlesKuhenga

  1. CharlesKuhenga

    Tunatengeneza websites kwa Tshs 400,000/=

    Jipatie website ya kisasa kwa ajili ya Biashara yako, Kampuni, Hotel, Kiwanda, NGO, nk kwa bei chee ya Sh. laki nne (400,000). Ofa hii ni pamoja na hosting and domain services. Kwa wale watakaohitaji software systems mbalimbali kwa ajili ya biashara au taasisi zao wasisite kututafuta kupitia...
  2. CharlesKuhenga

    Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    Kwakukusaidia ni kwamba mwenye dhamana ya usemaji wa mwisho kuhusu mambo yote yahusiyo wizara ni waziri husika hawa wengne kama watu wa PR. Ni watu ambao hutumika pale mwenye ofusu anapowapangia utaratibu na kuainisha mipaka yao.. inawezekana mwenye ofisi yake ameamua kuwa msemaji wa wizara yake...
  3. CharlesKuhenga

    Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    K Kwa waziri anapoagiza hasa wa ulinzi lazima wayekeleze mfano..mbwa tiyari kashapatikana,arusha RPC ametekeleza maagizo yote ya waziri mpaka Jana, Etc. Tuache ushabiki
  4. CharlesKuhenga

    Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    Acha ushabiki wa kijinga Wewe..serikali IPO madarakani kusimamia Mali na fedha kwa niaba ya wananchi Mimi sina mlengo wa kichama ila kwa hili ninampongeza kangi
Back
Top Bottom