Recent content by Charles Phaustine

  1. Charles Phaustine

    JamiiForums Tanzania Nisome short course ipi inisaidie kimaisha

    Kama huna ushauri unakausa
  2. Charles Phaustine

    JamiiForums Tanzania Nisome short course ipi inisaidie kimaisha

    Mimi ni kijana wa miaka 25 nimehitimu form six mwaka 2017 nikapata Division 3 ya point 14, yaani PCB=DEE ambayo sikustahili kupata mkopo wa serikali, na kutokana na uchumi pia nilishindwa hata kuendelea na college yoyote lakini sasa hivi nina laki 3 nahitaji kusoma. Nahitaji mawazo yenu wadau.
  3. Charles Phaustine

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    wanapatikana wap?? kwa mm nipo dar maeneo ya tabata
  4. Charles Phaustine

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    fanya 200,000
  5. Charles Phaustine

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    mimi ni kijana wa miaka 25 ninatafuta kazi ya ulinzi .elimu yangu form 6 pia nimepita mfunzo ya jkt .jamani wadau msaada kwenu.
Back
Top Bottom