Taarifa ya kwanza ya TAKUKURU kuhusu saga la Richmond ambayo ilichakachuliwa na Hosea
ilimtaja Lowassa kama muhusika mkuu na alitoa maelekezo kupindisha procedures muhimu
hivo hana jinsi kinachofuata ni kubeba ndoo kwenda Keko kunamsubiri tu maana hakuna namna nyingine
Kwa sasa CDM ikizidi kumwandama ZZK ndivyo inavyopoteza mvuto na kumpa ZZK UMAARUFU. Inaonekana nia ya kumfuta uanachama ni ZZK apoteze ubunge, sasa uko ni kukomoana.
Naona chadema inaongozwa zaidi na mihemuko ya kisiasa kuliko uhalisia wa uwanja wa siasa.
Kwa sasa ZZK yuko juu ya CDM kwa karata zake za Escrow na uenyekiti wa PAC. CDM kwa sakata
la Zitto imebugi kabisa na siyo siri imepoteza mvuto. Wanaojilidhisha na hatua ya CDM dhidi ya ZZK
NI MAHAFIDHINA...
Angalau kwa sasa ZZK anaonekana na ndivyo ilivyo ndo DJ wa muziki wa Escrow & mafisadi, huwezi ukatangaza kumfukuza DJ na ukategemea kuendelea kucheza muziki uleule kwa vionjo vilevile. Bahati mbaya sana kumtimua ZZK chadema kwa wafurukutwa waliowengi inaonekana ni kumuonea gere na kumkomoa kwa...
Vyovyote mtakavyosema haisaidii kumfukuza ZZK kwa sasa ni uchuro kwa CDM, na katiba ya CDM endapo
ina kipengele cha kuzuia mwanachama kwenda mahakamani kudai haki, basi katiba hiyo ni mufilisi. Kwa hili la ZZK ni matunda ya kuwapa radicals nafasi ya kuwa leaders, kwa watu makini na hali halisi...
Siamini kama CHADEMA ndo wanatetea katiba bora ilhali katiba yao ina kifungu ambacho kwa namna moja
ama nyingine kinafanana na kile cha katiba ya FIFA hakuna kwenda mahakamani na ukienda cha moto utakioana,
jambo hili inaweza ikawa kete kwa CCM na kuwachanganya wananchi waliowengi ikionekana CDM...
Kwa sasa ni mnyukano kati ya wanaomuunga mkono ZZK na wale wanaompinga ndani ya CHADEMA
jambo ambalo halijengi Chama kwa sasa zaidi kubomoa tu, haingii akilini kwa Mh John Shibuda kupeta
na Zitto Kabwe akatimuliwa. Sasa viongozi wa juu wa CHADEMA kwa nadhalia ya collective responsibility...
Shida kubwa inakuja panapotokea radical akapewa uongozi wa juu katika Chama ama taasisi,
kila analoamua atafanya kwa element za uradical na maradical wenzake watamshangilia.Na bila
kupepesa macho Mh Tundu ni aina ya kiongozi ambaye ni radical, tabia yake hiyo kuna mahali
inafaa, lakini kwahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.