Unafikiri sehemu moja tu kwa kumuangalia lissu kama mwanasiasa. Lissu pia ni wakili na upande huo pia endelea kufikiria. Namwombea mungu amponye haraka chanzo kipatikane kwa wepesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye enzi mungu amponye amlide ndugu yetu lisu aipe serikali yetu nguvu ya kutambua sababu za tukio hili ililisije tokea tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera yake. Ila atuimike vizuri kwenye matarajio ya maendeleo ya kampuni yake. Huku nyumbani tushaumwa na nyoka hata nyasi za kando ya nyumba tuazistukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuwatenganishe sasa. BARRICK ndio kampuni mama, mtuhumiwa namba moja wa kadhia hii, na muandizi wa wizi wa fedha zilizoIibwa na kwa kupunguza kuchafuka na uwezekano wakupata hasara moja kwa moja mambo yakiharibika amekua anatumia makampuni mbalimbali ya kujifichia ambayo ndotunapoteza muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.