Recent content by charles kaboigora

  1. C

    Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

    Yeah Mara nying hua n fain tu, labda kama katika uchunguz wa afisa ustaw utaonyesha kua mshtakiwa ameshafanya kitendo hicho zaid ya Mara moja bas hapo wanaweza wakampeleka kwenye hzo shule shule maalum
  2. C

    Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

    Hapo kesi IPO. Kama itathibitishwa kua kulikua na penetration. Na wakithibitisha n daktari. Na kwa kesi kama hiyo ambayo wahusika wote n watoto Ina maana itapelekwa kwenye mahakama za watoto (juvenile court), na kama mshtakiwa atakutwa na hatia yaan Huyo mtoto. Mahakama inaishia kumtia Haitian...
Back
Top Bottom