Recent content by Charles Bakari

  1. Charles Bakari

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Lijibwe hili swali muhimu sanacoz tuna machapisho yetu tayari
  2. Charles Bakari

    Mfumo wa Viwanda (Industrialization)

    Nipende kuwakumbusha kuwa Mfumo wa Viwanda vingi vyenye tija na vinavyosapotiwa na wazawa na kuanzishwa na wazawa wa nchi huleta positive results hasa bidhaa zikiwa zenye quality na kukubalika ktk Soko la kimataifa Duniani
  3. Charles Bakari

    Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Anamuunga mkono ktk swala zima la kukataa chanjo,japo hawez kusema Waz kuwa chanjo si nzuri ila anasema ukihitaji ku chanjwa sawa na ukikataa sawa hakuna mtu anayekulazmisha
  4. Charles Bakari

    SoC01 Tuwatambue watoto wa nje ya ndoa kwani ni damu zetu na tujitahidi kuwa waminifu katika ndoa zetu na mahusiano yetu

    Nakusalimu kwa sauti kubwa ukapate kunisikia sikioni mwako,sina ukamilifu wa kutosha ila moyo unaniuma sana kuhusiana na ghazabu wanazozipata watoto wa nje ya ndoa Mtoto wa nje ndoa ni yupi? “Aliyezaliwa kabla ya baba na mama hawajaoana,alizaliwa bila ndoa na baadaye mzazi mmoja akaoa ama...
Back
Top Bottom