Recent content by Charity1

  1. C

    Natafuta Kijana wa kuuza duka la jumla na rejareja Dodoma

    Habari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:- Awe kijana wa kiume Amemaliza kidato cha nne Awe mwaminifu Awe mkazi wa Dodoma mjini Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki Aliye tayari tuwasiliane.
Back
Top Bottom