Recent content by CHAPUNGA

  1. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi majina ya wanaohama kwa mwezi Januari huwa yanatoka tarehe ngapi kwa anayejua
  2. C

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Hata Mimi nimetoka kuulizia jana soko la Arusha grade ya kwanza gunia ni laki moja, na inawndelea kupanda
  3. C

    Bei ya vitunguu

    uliuzia soko la wapi kwa bei hiyo
  4. C

    Bei ya vitunguu

    Jamani naomba kujua kama kuna mtu amewahi uza vitunguu miezi ya januari na februari, Bei zake huwa zikoje?? mwenye taarifa sahihi anisaidie bei huwa zikoje miezi hiyo
  5. C

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Please Admin, NAOMBA NAMI MNIWEKE KWENYE GROUP LA WATSAP,, namba yangu ni 0763009957
  6. C

    Experience yangu ya kilimo cha vitunguu ni negative

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sana kuhusu kilimo cha vitunguu, kila mtu akitoa uzoefu wake. kila mtu anatoa taarifa zake, wengine za kutia moyo na wengine za kukatisha tamaa. Hivi ukweli ni upi jamani, maana mpaka sasa nimeshindwa kuelewa kwamba ni kilimo chenye faida au hasara?
Back
Top Bottom