Recent content by CHAPS

  1. C

    Pikipiki za honda zinauzwa

    Nashkuru chief, je naweza pata contact ya supplier wa huko India? At least email au website plz? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Pikipiki za honda zinauzwa

    Nahitaji spares za Honda Hero, Karizma. Shockups na steering, utakua nazo mkuu, au naweza kupata wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Mashamba ya bei rahisi

    Morogoro sehemu gani mkuu, na bei zake zipoje? Au ni PM tuongee vizuri.
  4. C

    Shamba Mtwara na Lindi

    Habari zenu wanajamvi! Natafuta shamba la bei rahisi kidogo mikoa ya Mtwara na Lindi linalofaa kwa kilimo cha Korosho, mwenye nalo tafadhali tuwasiliane.
Back
Top Bottom