Recent content by chankaka

  1. C

    CHADEMA wazidi kuigaragaza CCM Njombe

    hongereni sana na mungu azidi kuwafichua hawa mashetani wakijani
  2. C

    Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Hivi kwanini wana ccm mnapenda sana kumtetea Zito? sijawahi kuona hata kusikia ata siku moja ccm wakiinenea mazuri CHADEMA. lakini kwenye hili suala la Zito CCM mmesimama kidete kumtetea sijui mnamaslahi nalo gani. lakini pia hata vitabu vya MUNGU vinasisitiza kumpenda jirani yako lakini sio...
  3. C

    Kinana, Dkt. Migiro na Nape wachanja mbuga za kisiasa Njombe

    kinana kaanza uhuni wa kufanya siasa vyuoni, na huu ndio ushahidi wa yale yakataa. lakini yote ya yote huu ndio wakati wao wa kuteketea wao pamoja na chama chao hata wakifanya mikutano ya chumbani.
  4. C

    Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    Nafikiri hujajua maana ya bajeti chabruma naomba ukajifunze kwanza ukisha elewa ndipo urudie kuweka thread kwenye mtandao sio kukurupuka kiasi hicho wakati jambo hulijui.
  5. C

    Kikwete awakopa wananchi chakula.

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Rais kikwete amekiri kuwakopa wanchi hasa wa wilaya ya Ludewa mazao yao ya chakula ( mahindi) na kuahidi waendelee kusubiri kwani serikali haina fedha za kuweza kulipa deni hilo. Mpaka sasa serikali inadaiwa Tshs. bilioni 27 za mazao hayo. na ameahidi kulipa sh...
  6. C

    Rais kikwete: Ahitimisha ziara mkoa wa Njombe lakini akwepa maswali.

    Katika hali isiyo ya kawaida Rais Kikwete akimbia maswali wakati wa hotuba ya majumuisho ya ziara yake ya siku tano katika mkoa wa njombe. asema ameongea kwa muda mrefu kwahiyo yatosha. watu wamshangaa.
  7. C

    Rais Kikwete: Ziara yako mkoa wa njombe isiwe ya kuuza rasilimali za mkoa

    Ili watu wa mkoa wa Njombe wasiwe kama wa Mtwara, ni vema Rais katika ziara yake hii ya mkoa wa njombe akaweka wazi juu ya utata wa mikataba yote ya madini yanayoendele kuchimbwa Maeneo mbalimbali katika mkoa wa Njombe. Kwasababu tunaona dhahabu inachimbwa Wilaya ya Njombe kijiji cha Uliwa...
  8. C

    Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    CCM Wilaya na Mkoa wa Njombe umepata pigo kubwa la kufiwa na Diwani wa kata ya njombe mjini na ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM. Na ndiye alikuwa kiongozi anayetegemewa na CCM kwa Njombe kwa ujumla wake. Kupitia kifo hiki, viongozi wa CHADEMA njombe kwa ujumla wao wameenda msibani...
  9. C

    Njombe: Taarifa ya kupotelewa mbunge wetu

    Wananchi wa Njombe mjini wametangaza kupotelewa kwa Mbunge wao wa Njombe Kusini huko Dar na wametangaza zawadi nono kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mbunge huyo au wapeleke taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo jilani kwa wale wenye taarifa za Mbunge huyo.
  10. C

    Wabunge wetu hawa wamepitisha muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2013 tuwapongeze

    Tuwapongeze hawa waheshimiwa wetu kwa kazi kubwa ya kujadili hadi kupitisha muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2013. kwakweli ilikuwa kazi ngumu kujadili hatimaye kupitisha muswada huu tunahaki ya kuwapongeza.
  11. C

    Jana CHADEMA na CUF walitoka Nje ya Bunge, LEO MBOWE Ang'ang'ania Bungeni. Maajabu ya Bunge letu

    Naafikiana na wee kabisa kwasababu haiwezekani hata kwa sekunde moja PANYA wakawapenda PAKA hata wangekuwa wazuri, wapole na watulivu kwa kiasi gani. Unaweza kuwa shahidi wa hili, CCM kwenye ilani yao ya uchaguzi ya mwaka 2010 hakuna sehemu hata moja waliposema wataandika katiba mpya ama...
  12. C

    Wizi wa kutisha halmashauri ya mji Njombe

    Halmashauri ya mji Njombe imekumbwa na kashfa kubwa ya matumizi mabaya ya fedha ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2012/13 hasa kwa miradi ya barabara. Inaonyesha katika maeneo ya mjini zilitengwa Tshs.210,000,000/ kwa barabara zote zichongwe kwa kiwango cha changalawe (kifusi) lakini...
  13. C

    Ziara ya mh.mbowe mkoa wa njombe ni tarehe 23/8/2013

    Kamanda wa anga mh. MBOWE akiongozana na TUNDU LISU na JOHN MNYIKA watavamia na kushambulia mji wa Njombe katika viwanja vya NHC- Njombe mjini siku ya tarehe 23/8/2013 baada ya kupeleka siku moja mbele kutoka siku ya awali ya tarehe 22/8/2013. hii ni miongoni mwa ziara zake za mikutano ya balaza...
  14. C

    Njombe: Watendaji wa serikali wafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili

    Mtendaji wa kata mojawapo Wilayani Ludewa alifikishwa mahakamani kujibu kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa,pia Jana tarehe 13/5/2013 Katibu tawala wa Wilaya ya Njombe na mhasibu wake walifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za serikali. Sijui kwa mtindo huu CCM na...
Back
Top Bottom