Recent content by Change Tanzania

  1. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Mapitio ya Change Tanzania kwa maazimio ya kamati ya PAC na maoni juu ya hatua zaidi Change Tanzania tunatoa shukrani kwa Watanzania wote wanaoendelea kusaini tamko la kutaka uwajibikaji kamili wa serikali na bunge dhidi ya wote waliohusika katika ukwepuaji wa pesa zilizokuwa katika akaunti ya...
  2. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Shurkarani wadau kwa kuhamasishana, sasa tuna sahihi zaidi ya 1,000 .. shughuli bado pevu .. huku tukiendelea kutega masikio na kuelekeza macho Dodoma tusisahau kuhabarishana kuhusu petition hii Wito kwa Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: KUHAKIKISHA UWAJIBIKAJI KAMILI NA PESA...
  3. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Wadau tunashukuru sana maana sahihi zinazidi kumiminika kama wapo ambao bado basi waweke hapo maana hatujui sakata hili litaisha vipi. Tunachohitaji tuwe na sahihi za kutosha tumpelekee Rais aone safari hii hatukubali mpk tuone UWAJIBIKAJI KAMILI Bofya hapa uweke jina na email yako.. hiyo ndo...
  4. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Asante kwa kuwakumbusha watanzania uwajibikaji, maendeleo ya nchi yanatokana na tabia au mitazamo ya wananchi wenyewe, ni wakati sasa kushiriki mambo muhimu yanayilihuru taifa letu
  5. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    shukurani
  6. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Safi, tunatakiwa kushikamana ili kuimalisha umoja wa wananchi uliopotea, ni wajibu wetu kama wananchi kusimamia nchi yetu, tumeibiwa sana sasa imetosha
  7. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

  8. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Report ya PAC ufisadi wa #TegetaEscrow https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/764613-uwasilishaji-wa-ripoti-ya-pac-kuhusu-tegeta-escrow-account.html
  9. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Ripoti ya PAC imesomwa .. sasa tuhakikishe serikali kesho inawajibika na kuwawajibisha wahusika wote la sivyo bunge lipitishe azimio na haki itendeke! Msisahau kutupia sahihi zenu hapo Wito kwa Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: KUHAKIKISHA UWAJIBIKAJI KAMILI NA PESA ZA UMMA...
  10. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Ni wazo zuri na labda tukiweza kupata sahihi za kutosha ndani ya wiki hii tunaweza kuwatumia mahisani na kuwaonyesha kwa vielelezo kile tunachotaka hivyo kusaidia kuongeza presha au msukumo katika kuhakikisha uwajibikaji kamili unafanyika
  11. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Ushindi ni wetu sote, tujenge umoja ili tuwe na team bora kama wananchi, wananchi tukiwa imara pamoja huu wezi na matumizi mabaya ya ofisi yatapungua
  12. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Sisi kama wananchi tunaweza kuwawajibisha, hakuna serikali inayokaa madarakani bila UKUBARI wa wananchi, tuki saini na kuonyesha ummoja watawajibika tu, Nchi zilizoendelea zinatumia petition kama ishara ya kuonyesha ukubwa wa jambo, tusaini kwa nguvu zote kuonyesha msimamo wetu. Ni wakati wa...
  13. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Kuratibu maandamano sio shida, kumbuka ni maandamano yetu sisi sote kama wananchi, hivyo basi kusaini hii petition ni kuonyesha ummoja wetu, Kwa nchi wanazojari maendeleo yao vitu kama petition is a key kuonyesha msimamo wao, sisi tunakapokusanya sahihi za kutosha tunaweza ziwasilisha...
  14. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Wananchi tunatakiwa kuwa wakali, mambo mengi ya ovyo yanatokea tunahacha tu yanapita, ni vyema ku saini hii petition ili kuonyeshe msimamo wetu kama wananchi. Tusisubiri wajiwajibishe maana wanaweza wasifanye hivyo, tuweke msukumo ili wawajibike
  15. Change Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Wakati mwingie mambo mazito kama hayo yanahitaji extra push, ni kweli wakumbuke wajibu wao ila wasihache kuwa wakali, !!! kama ni wakati wa kuwa wakali ni sasa, wizi umefanyika sana na kujirudia rudia sana
Back
Top Bottom