Recent content by Chancel Mbemba

  1. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    JAPO MPAKA SASA JAMIIFORUMS NA UZI HUU KUMEKUA NA MASIHARA BILA UTU UZIMA NA WAHITAJI, NISEME NENO MWAKA WOWOTE ULE MWENYE UHITAJI AKIONA UZI HUU ASOME VIZURI USHAURI WANGU KUNA KITU ATAKIPATA. GOODBYE 👋
  2. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Labda nitoe elimu kidogo. Kuna watabibu wa mitoshamba wa aina 3 au zaidi. 1. Wa mizimu NA masharti ( hawa sio wazuri pia sijawahi kwenda) 2. Waganga wa kibuyu (hawa ni kama wachawi tu) 3. Wasoma kisomo/masheikh Wanajua dawa za sunna na mizizi ya porini ( WA AINA HII NDIO ALIENISAIDIA)
  3. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Yes, afafanue mana hata mimi sijamuelewa hua naskia kuna watoto wa masharti wa waganga wa mizimu na kibuyu, (HUKO MIMI SIJAENDA) MIMI NIMEENDa kwa MUISLAMU WA KISOMO NA MITISHAMBA
  4. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Hayo maneno wengi wanakosea, HAKUNA MTOTO WA DAWA LABDA UWE UMEENDA KWA MGANGA WA KIENYEJI WA KIBUYU ( WA MASHARTI) SIWEZI NIKAZUNGUMZIA HILO MAANA SIJAWAHI KWENDA HUKO. SIKILIZA YA DUNIA. HAKUNA DAWA INAYOTUMIWA MTU APATE MIMBA NEVER! MIMBA NI YAI LINALORUTUBISHWA NA MBEGU ZA KIUME HAKUNA...
  5. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    HAPO SASA LIMETIMIA NENO, USIMWAMBIE HAYA MAMBO MTU ASIEKUA NA HIUO EXPERIENCE. KWETU TIBA HUFUATI MIMBA/MTOTO KULE UNAFUATA TIBA KUTOA KIKWAZO ILI UTAFUTE MTOTO BILA KIKWAZO/KIZUIZI KILICHOKUWEPO. HAKUNA MGANGA WALA YOYOTE YULE ANAETOA MTOTO.
  6. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Jamiiforums kumbe wajuaj kama fesbuk 🤣 tiba inafanyika mkiwa wote wawil mke na mume
  7. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    UJUMBE WANGU KWA WENYE CHANGAMOTO WAJIPE MOYO, KAMA HOSPITAL MMEAMBIWA MPO SAWA IPO SIKU MTAPATA KILAINI SANA, MUWE TAYARI TU KULIHANGAIKIA HILO SWALA
  8. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Comment ambazo ni za kukashifu za ambazo ni za WASIOJUA HIZO CHANGAMOTO, SITAZIJIBU MAANA HAWAJUI CHOCHOTE HII STORY NA ILIVYOKUA SIO KWA AJILI YAO.
  9. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Nimeandika kadri ya uwezo wangu nikipata mda tena nitaendelea lazima nifanye hivyo
  10. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    USHAURI WENYE UHALISIA NASHUKURU KWA KUNIELEWA.
  11. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Siwezi weka namba ya mtu mtandaoni, pia mimi sio mtumiaji sana wa jf lakin nilikua kwa ajil ya kuomba ushauri tu nilisikia watu wa hapa wema, nitakua naingia kila nikipata mda
  12. Chancel Mbemba

    Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Mwaka jana niliandika uzi hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/ Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara. Ukiwa na jambo lako...
Back
Top Bottom