Nashangaa !! Wamepeana watu wasio ja uhitaji , mtu tayari ana makazi na viwanja lukuki kaona bime gaiwa kaona fursa anunue akivundike asubilie kiive auze
Serikali ina fanya kazi kwa mfumo na umuhim (Priority) ni kazi ya Wabunge, Madiwani kujenga hoja ili maeneo yao yapewe kipaumbele kwenye miradi ya maendeleo!! Bila hivyo mnaonekana hamna vipaumbele wanapewa wenye navyo!!
Hatutegemei kumaliza matatizo yote, lakini yale yaliyo kwenye uwezo wa Mbunge na Madiwani haiwezekani kufumbia Macho, suala la barabara za Tarura kuwa mbovu na uwepo wa Mapori katikati ya Mji ni vitu vinavyoweza kurekebishwa kwa level ya mkoa!! Hadi rukwa wana barabara za Mitaani safi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.